Natafuta chumba cha kupanga tanga

Natafuta chumba cha kupanga tanga

Smith Rowe

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
4,319
Reaction score
9,003
Habari,
Tanga kunani palee
Wanajf natafuta chumba cha kupanga tanga maeneo ya kisosora au chumbageni au maeneo karibu na hayo.
Chumba kiwe na choo ndani
Bajeti yangu 70k kushuka chini.
 
Nenda kijiji cha Miaka 21 ukutane na madalali wakupe chumba.
Ushauri usije mdinya mke wa mpangaji mwenzako utafanywa na wewe kwa namna yeyote ile.
 
Nenda kijiji cha Miaka 21 ukutane na madalali wakupe chumba.
Ushauri usije mdinya mke wa mpangaji mwenzako utafanywa na wewe kwa namna yeyote ile.
Hicho kijiji cha miaka 21 kiko eneo gani?
asante kwa tahadhari
 
Habari,
Tanga kunani palee
Wanajf natafuta chumba cha kupanga tanga maeneo ya kisosora au chumbageni au maeneo karibu na hayo.
Chumba kiwe na choo ndani
Bajeti yangu 70k kushuka chini.
Mkuu vip hapo Tanga kunaingilika kiujasiriamali? Nataka nije nifunge kistudio cha movie na miziki hapo.
 
Back
Top Bottom