Natafuta chumba cha kupanga (Ubungo, Mwenge au Makumbusho)

Natafuta chumba cha kupanga (Ubungo, Mwenge au Makumbusho)

Mangi wa Rombo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
207
Reaction score
148
Habari!

Nahitaji chumba cha kupanga, Maeneo ya Ubungo, Mwenge au Makumbusho!

Sifa:
1. Chumba kiwe Self-contained yani yenye choo ndani!
2. Kisafi kwa maana hata kama sio kipya lakini kimerudishiwa rangi na kiwe na tlles!
3. Mfumo wenye kueleweka wa umeme, Kwa maana hata kama hakuna mita ya kujitegemea basi kuwe na units counter itakayonesha kias cha umeme kilichotumika!

Budget:
Malipo yawe kati ya 80,000Tshs had 120,000Tshs kwa mwezi na yawe yanawezekana kufanywa kwa kipindi cha miez sita tu!

Mawasiliano:
Kama una taarifa au unacho tafadhali tuwasiliane kwa +255625919817 (WhatsApp Available) Muda wowote.

N;B
Utapatiwa hela ya udalali tu (Ambayo itakuwa ni sawa na kodi ya mwez mmoja) na hakutokuwa na malipo ya gharama za wewe kuzunguka kukitafuta!

Thanks in Advance!
 
Njoo,tegeta..Mkuu.
Chumba,kipya_kabisa.
Kodi,Tsh.9O,OOO.

Ni_self_contained.
Mtaa,umetulia_sana.
 
Njoo,tegeta..Mkuu.
Chumba,kipya_kabisa.
Kodi,Tsh.9O,OOO.

Ni_self_contained.
Mtaa,umetulia_sana.
Ahsante boss ila Tegeta na ofisini napofanya kazi itani-cost sana! Ila nashukuru kwa kuonesha nia ya kunisaidia kaka!
 
Back
Top Bottom