Mkuu..me nijuavyo bei zinaanzia 50k.
Hadi vya buku 5 vipoHivi dar kuna vyumba vya bei hizo?
Mpaka vya buku 2 vipo. Ila mlango unaegesha Matete.Hivi dar kuna vyumba vya bei hizo?
umenichekesha sana. thank youMpaka vya buku 2 vipo. Ila mlango unaegesha Matete.