House4Rent Natafuta Chumba cha kupanga

House4Rent Natafuta Chumba cha kupanga

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Habari za leo wanaJF,

Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Tabata ama Mabibo/ au Segerea. Chumba kimoja tu. Kikubwa ni mazingira yawe rafiki kwa mtu kuishi.

Umeme uwe wa kujitegemea hata kwa Sub mita pamoja na maji.

Bajeti yangu mwisho ni 30k mpaka 40k na ninahitaji ya mkataba wa kuanzia kwa miezi 3 kwanza.

Pesa ya udalali sina lakini kipo kiasi kadhaa cha kupooza machungu.

Tuwasiliane hapa +255785805915
 
Mkuu..me nijuavyo bei zinaanzia 50k.

Ni kweli lakini inategemea na eneo. Nilipata vyumba vingi maeneo ya Mwananyamala & Buza & Mbagala kwa bei hiyo ya 30k mpaka 40k. Tatizo ni usalama tu ndo mdogo lakini ni kweli vyumba vinaanzia 50k.
Shukrani sana [emoji120]
 
Back
Top Bottom