Natafuta chumba: Kiwe karibu na Law school(mawasiliano), iwezekane kwenda na kurudi bila ulazima wa daladala

Natafuta chumba: Kiwe karibu na Law school(mawasiliano), iwezekane kwenda na kurudi bila ulazima wa daladala

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Kuna mwanafunzi wa law school (July intake) ya pale mawasiliano.

Anatafuta chumba ambacho atakuwa na uwezo wa kwenda na kurudi bila kulazimika kutumia dala dala au boda boda. Kiwe kwenye mazingira tulivu yatakayomwezesha kujisomea bila bugdha!! Kiwe mazingira salama.

Kikipatikana mapema atahamia kuanzia tarehe 1 Septemba 2022.

Nawasilisha!
 
2720E43A-1E45-42DF-BD13-7574D6127015.jpeg
 
Wape kazi madalali wa vyumba wa maeneo ya ubungo mawasiliano. Na madalali wa sinza madukani.
 
Back
Top Bottom