ni rahis sana kwa freshers kusema nipe laki mbil au tatu na zaidi ila cku na wao wakifika mwaka wa pil na kuendelea utamwona anavotoa macho,anaye ua kwa upanga naye atakufa kwa upanga jifanyen mnajua sana pesa...zitawageuka siku moja
Hivi mabibo hostel ni wapi,au ndo mabibo yenyewe,na pia hv vyumba ni rahis sana..naomba na mimi mnitafutie kwan nataka niame huku gongo la mboto niwe karibu na mwenge
Kapange mtoto wa kiume, maisha ya kubebwa yanadumaza akili kwa kuwa hayana changamoto. Unakaa na watu wale wale mkijadili boom, mitihani, coziweki, mademu, njaa na kadhalika hadi semista inaisha. Nadhani unakaribia miaka 25 sasa, ni muda mzuri wa kuanza kuzoea sekeseke la maisha mdogo wangu.