Natafuta chumba mabibo hosteli!

Natafuta chumba mabibo hosteli!

ELIAS SIMON

Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
24
Reaction score
2
Mwenye chumba anauza au anibebe jaman hapa mabibo hostel anistue kwenye 0752485142
 
Kama una laki mbili taslimu,njoo tuongee.
 
ni rahis sana kwa freshers kusema nipe laki mbil au tatu na zaidi ila cku na wao wakifika mwaka wa pil na kuendelea utamwona anavotoa macho,anaye ua kwa upanga naye atakufa kwa upanga jifanyen mnajua sana pesa...zitawageuka siku moja
 
Hivi mabibo hostel ni wapi,au ndo mabibo yenyewe,na pia hv vyumba ni rahis sana..naomba na mimi mnitafutie kwan nataka niame huku gongo la mboto niwe karibu na mwenge
 
Mwenye chumba anauza au anibebe jaman hapa mabibo hostel anistue kwenye 0752485142

Kapange mtoto wa kiume, maisha ya kubebwa yanadumaza akili kwa kuwa hayana changamoto. Unakaa na watu wale wale mkijadili boom, mitihani, coziweki, mademu, njaa na kadhalika hadi semista inaisha. Nadhani unakaribia miaka 25 sasa, ni muda mzuri wa kuanza kuzoea sekeseke la maisha mdogo wangu.
 
Back
Top Bottom