Ongea vizuri na dalali mweleze hali yako umtoe hata nusu au robo ya kodi ya mwezi aayotaka kuna wengine wanakubali atakusaidia ila ukisema uzunguke mwenyewe mzee utakeshaa.
Siku hizi hata wenye nyumba wakipangisha bila dalali halafu madalali wakajua kwamba hakuna mwenzao hata mmoja aliyekula % basi nyumba hiyo wataipa sifa mbaya.