Natufa chumba master na sebure maeneo ya mikocheni,mbezi beach,mwenge, Kijitonyama,
Makumbusho na msasani
Maji yawepo, na umeme wa kujitegemea . isiwe karibu na msikiti wala kanisa,kisiwe cha ndani ya nyumba...kikiwa ndani ya geti itakua vizuri. sehemu zisizo na kelele
Bajeti 180000 kushuka. Mwenye nyumba anipm kwa mawasiliano zaid