Natafuta chumba na sebule maeneo ya upanga. Ofa laki mbili kwa mwezi

Natafuta chumba na sebule maeneo ya upanga. Ofa laki mbili kwa mwezi

Waweza pata mjukuu wangu, pale upanga kuna chocho ukipita kumekaa hovyo sana kuna nyumba unaweza kukutana na kabanjori akakupa ka store ukaishi vizuri tu.... wasikukatishe tamaa
 
Daass Upanga laki 2....? Nami nahamia huko faster
 
Back
Top Bottom