Natafuta chumba

Natafuta chumba

alpha walk

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
215
Reaction score
206
habari zenu wakuu nina shida ya chumba cha 25,000 dar es salaam,nipo kwenye changamoto kidogo hivyo siwez kupitia kwa madalali maana gharama zitaongezeka hivyo kwa mwenye kuweza kuniunganisha na mwenye nyumba anaemfaham naomba anisaide,namba yangu ni 0622667749
 
Hujataja eneo au popote (jambo ambalo sio rahisi)
 
Ukonga karibu yote unapata ,temeke karibu yote unapata ubungo vipo n.k hii ni kwenye zile nyumba za kitambo sana msimu wa joto mnalala hata nje mkipiga story

Vitakuwa vya hovyo sana hayo maeneo
 
Vitakuwa vya hovyo sana hayo maeneo
Vya kawaida Wala sio vya hovyo ni standard za kawaida mlango dirisha paa hakuna gypsum choo Cha kuchangia na maisha ya kawaida Yale ya Kila siku
 
Cheki maeneo ya Ukonga, Gongo la Mboto unapata chumba kwa bei hiyo tena kizuri tu, ni wewe tu kupambana na vipengele vya usafiri
 
Back
Top Bottom