Natafuta chumba

Natafuta chumba

alpha walk

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
215
Reaction score
206
habari zenu wakuu nina shida ya chumba cha 25,000 dar es salaam,nipo kwenye changamoto kidogo hivyo siwez kupitia kwa madalali maana gharama zitaongezeka hivyo kwa mwenye kuweza kuniunganisha na mwenye nyumba anaemfaham naomba anisaide,namba yangu ni 0622667749
 
Dah! Kwa bei hiyo inabidi utoke kabisa nje ya mji. Na kama shughuli zako za kujipatia kipato unafanyia mjini, utatakiwa tena kuingia gharama kubwa ya usafiri wa kwenda na kurudi. Na mwisho wa siku utajikuta umerudi tena pale pale.
 
Back
Top Bottom