Natafuta Chuo bora sana Cha ufundi cha private

Natafuta Chuo bora sana Cha ufundi cha private

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Wadau,

Nina watoto wamejaribu kufanya mitihani ili waingie veta lakini ni shida ni na nafasi chache sana kuliko wanaoomba.

Hivyo nafikilia kuwasupport waende private VETA.

Je, ni chuo kipi Bora cha ufundi mnachokifahamu ukimpeleka mtoto miaka miwili anatoka na ujuzi wa kujiajiri.

Asante kwa michango mtakayotoa
 
kula ile VETA ipo keko sjui kama ni private au Government kuna mdogo wangu anasoma pale
 
fomu yao hii
PXL_20240115_113815813.MP.jpg
 
Tatizo la veta short course miyeyusho sana, labda long course kuna kitu mtu atapata ila kwa short course asijaribu atatoa tu hela ila ujuzi chenga sana

Naongea sababu nina experience, ikiwa mtu anajua tayari ila anataka cheti tu kuthibitisha basi short course itamfaa ila vinginevyo bora uende vyuo kama Don Bosco Upanga ikiwa kakosa long course hapo VETA
 
Back
Top Bottom