Natafuta chuo cha mafunzo ya kutembea kwa viatu virefu

Natafuta chuo cha mafunzo ya kutembea kwa viatu virefu

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Jamani naombeni msaada
Wapi nitapata mafunzo ya kutembea kwa viatu virefu?

Nahitaji darasa asap!
 
Njoo kwangu napatikana dar, muda wa mazoezi ni saa 1 jioni.
 
Kiatu kikiwa na balance nzur kutokana na mwil wako , very simple
 
Ingia youtube kuna tutorial za kutosha, na practice sana hata ukiwa ndani unafanya shughuli zako.
vizuri uanze na zie kitten heels au chunky heels ili upate balance afu ndio unaenda unaongeza urefu taratibu.
 
Bora wewe umeona haja ya kutafuta darasa la kujifunza, kuna wenzako wanatembea kama ndama huku mtaani.
 
ingia YouTube type weight yako watakuonyesha wenzako wanawezaje
 
Nampa sifa Tina Turner kwa kucheza/kukimbia kwa zaidi ya saa moja akiwa katika tamasha zake za muziki enzi hizo.
 
Back
Top Bottom