Nimemaliza kidato cha nne 2014 nilifaulu kiasi, PHYS C, CHEM C, BIOLOGY B na Mathematics C. Nimechaguliwa PCM but nahitaji kusoma course ya medical officer chuo cha afya, mwenye kujua naomba nijulishe chuo bora na ambacho kina full registration, ambapo naweza kusoma course hiyo.
Msaada: Naombeni full contacts za chuo hicho kwa ajili ya mawasiliano zaidi.
WAKUU @NACTE niliapply lakini hawajanichagua, ndo maana nimeamua nitafutie chuo ambacho nitaapply direct