Natafuta chuo cha private nisome Ordinary Diploma ya Medical Officer

Dozencut

Senior Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
159
Reaction score
38
Nimemaliza kidato cha nne 2014 nilifaulu kiasi, PHYS C, CHEM C, BIOLOGY B na Mathematics C. Nimechaguliwa PCM but nahitaji kusoma course ya medical officer chuo cha afya, mwenye kujua naomba nijulishe chuo bora na ambacho kina full registration, ambapo naweza kusoma course hiyo.

Msaada: Naombeni full contacts za chuo hicho kwa ajili ya mawasiliano zaidi.
 
Ingia Google tafuta NACTE
 
besha health training institute kipo tanga na kimesajiliwa na nacte .
 
Nimemaliza kidato cha nne 2014 nilifaulu kiasi, PHYS C, CHEM C, BIOLOGY B na Mathematics C. Nimechaguliwa PCM but nahitaji kusoma course ya medical officer chuo cha afya, mwenye kujua naomba nijulishe chuo bora na ambacho kina full registration, ambapo naweza kusoma course hiyo.

Msaada: Naombeni full contacts za chuo hicho kwa ajili ya mawasiliano zaidi.

Ingia: www.ccohas.ac.com
 
Tembelea : www.tihest.org
 
Back
Top Bottom