S Sule the don Member Joined Jul 28, 2013 Posts 52 Reaction score 2 Aug 15, 2014 #1 Kama unajua chuo chochote knachofundisha kozi tajwa hapo juu kwa ngazi ya cheti na diploma naomba unifahamishe kwa kuandika jina na mawasiliano kama yapo nasubiri msaada wenu wapendwa
Kama unajua chuo chochote knachofundisha kozi tajwa hapo juu kwa ngazi ya cheti na diploma naomba unifahamishe kwa kuandika jina na mawasiliano kama yapo nasubiri msaada wenu wapendwa
Akurutogo Senior Member Joined Aug 29, 2013 Posts 199 Reaction score 103 Aug 15, 2014 #2 Una sifa gani
S Sule the don Member Joined Jul 28, 2013 Posts 52 Reaction score 2 Aug 15, 2014 Thread starter #3 iv.33 mwaka 2013 ndo nimemalza xul
IMahujilo Member Joined Sep 21, 2012 Posts 11 Reaction score 3 Aug 15, 2014 #4 nenda KCMC mkuu wanatoa kwa ngazi cheti diploma ipo nairobi vigezo ingia kwenye web ya chuo chao (kcmc)
nenda KCMC mkuu wanatoa kwa ngazi cheti diploma ipo nairobi vigezo ingia kwenye web ya chuo chao (kcmc)
K kyolumuli Member Joined Nov 27, 2013 Posts 55 Reaction score 12 Aug 15, 2014 #5 Ingia kwenye NET utafute TANDABUHI. Ila lazima uwe umefauli Biology la sivyo hutapata admision