Natafuta chuo chenye kozi ya Health record management

Natafuta chuo chenye kozi ya Health record management

Sule the don

Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
52
Reaction score
2
Kama unajua chuo chochote knachofundisha kozi tajwa hapo juu kwa ngazi ya cheti na diploma naomba unifahamishe kwa kuandika jina na mawasiliano kama yapo nasubiri msaada wenu wapendwa
 
nenda KCMC mkuu wanatoa kwa ngazi cheti diploma ipo nairobi vigezo ingia kwenye web ya chuo chao (kcmc)
 
Ingia kwenye NET utafute TANDABUHI. Ila lazima uwe umefauli Biology la sivyo hutapata admision
 
Back
Top Bottom