iniesta andres
New Member
- May 11, 2015
- 1
- 0
Mimi ni mwanafunzi niliye malza form four mwaka jana ila sijafanikiwa kupangiwa shule japo kuwa combination ime balance nilikuwa nasoma science na nmepanga niende chuo biashara, Je inawezekana? kama ina wezekana chuo gan kizuri cha biashara mimi niko Arusha