Natafuta chuo kizuri

Natafuta chuo kizuri

iniesta andres

New Member
Joined
May 11, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Mimi ni mwanafunzi niliye malza form four mwaka jana ila sijafanikiwa kupangiwa shule japo kuwa combination ime balance nilikuwa nasoma science na nmepanga niende chuo biashara, Je inawezekana? kama ina wezekana chuo gan kizuri cha biashara mimi niko Arusha
 
Achana na biashara watu wengi wapo huko njoo eastc usome statistic ni chuo kizuri africa kina wanafunzi wa mataifa.kibao karibu
 
biashara haifai kama umefauru Phy,Chem,Bio omba diploma ya udoctor bugando na kada mbalimbali za afya
 
Back
Top Bottom