Natafuta Clinic ya Mabusha

Natafuta Clinic ya Mabusha

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,095
Wakuu mpwa wangu anasumbuliwa na busha sana tu natafuta Clinic nimpeleke wakampasue ili apone yupo Dar nataka nijue na bei zake za upasuaji wa busha hilo. Msaada tafadhari mpwa amechoka kujambishwa
 
mambo ya heshima hayo,kuna kipindi kisarawe ilikuwa inasifiwa sana,ebu cheki nao mkuu.
 
Kisarawe hospital, Mkuranga hospital. Au fika wizara ya afya utapewa maelekezo murua katika hilo.
 
naomba no yake nasikia watamu sana
 
Back
Top Bottom