Natafuta Connection ya ajira Serikalini au sekta binafsi

Natafuta Connection ya ajira Serikalini au sekta binafsi

Brightly

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2022
Posts
391
Reaction score
623
Habarii wakuu,

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Mimi ni kijana wa kitanzania Mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzi(Ordinary diploma in civil engineering NTA level 6) kutoka chuo cha ufundi.

Nimekaa mtaanii kwa zaidi ya mwaka mmoja Sasa nikijaribu bahatii yangu katika makampunii mbalimbali ya ujenzi hapa nchini, lakini kinyume na matarajio yangu makampunii ambayo nilibahatika kufanya nayo kazi yalikuwa hayalipii pesa kwa wakati unakaa site zaidi ya miezii mitatu bila kupewa chochote

Pia nimejaribu bahati yangu utumishii lakni sijawezaa kumudu gharama za kwenda kwenye interview Dodoma.

Nimekuja kwenye jukwaa hili nikiamini kuna watu wa aina mbalimbali humu ambao wanawezaa kuguswaa na kuwezaa kunisaidiaa na connection ya kazi aidha serikalini(itapendeza zaidii ili kazi iendelee) au kwenye makampunii binafsi ambayo yanatoaa mikataba kwa wafanyakazii ili niwezee kulijengaa taifa letu tukufu la TANZANIA!!!!!Mungu ibariki Tanzania,.
 
Injinia wa ujenzi unashindwa ku organize vijana apo mtaani kwenu ufungue workshop kwa ajili ya kazi na tenda za ujenzi wa nyumba (ufundi uashi)

Ukiona soo kushika chepe fungua ata tuition centre mtaan kwako ufundishe watoto hesabu na fizikia 20k per month ukipata vichwa 100 kwa mwez una milion 2

Kazi kwako kijana
 
Nashukuru kwa ushaurii wako mkuu
 
Back
Top Bottom