ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Nitapataje mawasiliano ake? Au yupo mtaa gani nataka niongee nae niulize maneno anatoa wapi huyu jamaa hivi naye si moja ya watu maarufu hapa nchini au?
Dj Mark si ni staa yule nitaweza kweli kumfikia au ni kazi sana kama rahisi ndo niende anako semaga kwa alimboa
Akiwa kazini utamsikia wanakujaaaaaaaaaaaaaa wazee ngwasumaaaaaaa achecheeeeeeeeeeeeeeee ( in dj mark voice) na mluzi mbele hahahhahaha
Au nyie wenzetu kizungu huwa mnaelewa hammtegemei huyu jamaa kuna movie sielewi nataka nimpe kazi hahaha
Mwenye picha ake pia aweke hapa ni mfahamu sijui atakuwa bonge la mtu,sijui atakuwa ana kitambi sijui yupoje hahaha namzuka wa kumfaham achecheeeee
Madenge ni katuni lakini star