Natafuta Convertible pc(2 in 1),either hp envy or pavillion

martial arts

Senior Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
191
Reaction score
100
Rejea kichwa tajwa hapo juu,natafuta mtu anaeuza laptop yoyote ambayo ni convertible au 2 in 1,kwa maana inaweza kutumika katika mode zote either tablet mode au pc mode.
Nawasilisha
 
Kwa bei hiyo cheki Kariakoo kuna duka nimelisahau jina lakini lipo mtaa wa Uhuru opposite na Total Petrol Station. Cheki hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…