martial arts
Senior Member
- Jun 26, 2014
- 191
- 100
Rejea kichwa tajwa hapo juu,natafuta mtu anaeuza laptop yoyote ambayo ni convertible au 2 in 1,kwa maana inaweza kutumika katika mode zote either tablet mode au pc mode.
Nawasilisha
Nawasilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1MUna tsh ngapi!
Shukrani!Kwa bei hiyo cheki Kariakoo kuna duka nimelisahau jina lakini lipo mtaa wa Uhuru opposite na Total Petrol Station. Cheki hapo