Natafuta cream ya kuondoa kovu usoni

Natafuta cream ya kuondoa kovu usoni

satura

Member
Joined
Oct 18, 2014
Posts
37
Reaction score
6
Nataka cream ya kufuta kovu upande wa shavu niliungua ukubwa kama sh.100 duara sehemu ile ilipona na kuinuka so i feel badly nilienda hospitari wakachuna ngozi ya juu lakin hakusaidia ilipona na kubaki raised up kama mm 2 so naitaji cream nifute kabisa hio kovu kwani ni ugly sasa kulingana na muonekano na rangi yake nyeusi
 
Wewe ndo unaitwa Naomi?
 
Hauelewekii
 
Tafuta cream yenye vitamin E uwe unafanya massage kwenye kovu, pia ovacado linasaidia sana.
 
Badala ya kutoa jibu mnaanza kumuulizia naomi Shubaaaaamit..
 
Back
Top Bottom