Nataka cream ya kufuta kovu upande wa shavu niliungua ukubwa kama sh.100 duara sehemu ile ilipona na kuinuka so i feel badly nilienda hospitari wakachuna ngozi ya juu lakin hakusaidia ilipona na kubaki raised up kama mm 2 so naitaji cream nifute kabisa hio kovu kwani ni ugly sasa kulingana na muonekano na rangi yake nyeusi