Nataka cream ya kufuta kovu upande wa shavu niliungua ukubwa kama sh.100 duara sehemu ile ilipona na kuinuka so i feel badly nilienda hospitari wakachuna ngozi ya juu lakin hakusaidia ilipona na kubaki raised up kama mm 2 so naitaji cream nifute kabisa hio kovu kwani ni ugly sasa kulingana na muonekano na rangi yake nyeusi
HauelewekiiNataka cream ya kufuta kovu upande wa shavu niliungua ukubwa kama sh.100 duara sehemu ile ilipona na kuinuka so i feel badly nilienda hospitari wakachuna ngozi ya juu lakin hakusaidia ilipona na kubaki raised up kama mm 2 so naitaji cream nifute kabisa hio kovu kwani ni ugly sasa kulingana na muonekano na rangi yake nyeusi
naona umuwah mm nmekimbilia kusoma na kurud kuona jina lakeWewe ndo unaitwa Naomi?