Natafuta dada wa kazi kwa malipo ya 63k kwa wiki. Ninaishi peke yangu

Natafuta dada wa kazi kwa malipo ya 63k kwa wiki. Ninaishi peke yangu

Hapana mkuu, ndoa ni kifungo cha uhuru na maisha. Nikijiskia kupunguza wazungu nitakuwa naingia chimbo. Huyu binti atakuwa ananipikia, kunifulia, kunilisha na kunibembeleza nilale tu
Ili mtu alale si inabidi akabembelezewe kitandani sasa ukishabembelezwa nini kituo kinachofuata
 
Kwahiyo unataka kufanyiwa usafi,kupikiwa,kumbinya nyaunyau na matako pamoja na kuosha rungu kwa 9k per day?
 
Mzee unatafuta mke ...
Hapana mkuu, hakuna kitu naogopa kama ndoa. Siwezi kuoa aisee! Kama ni issue ya kupunguza utamu nitakuwa naenda kwa wale dada zetu, hata hivyo nimewazoea sana na kawaida yangu huwa ni tako mbili tu wazungu hawooo, sipati hamu tena mpaka kesho yake
 
Kama ni kweli wewe ndiwe utakuwa mtu wa kwanza nchini kumlipa housemaid maslai bora kuliko wote. Maana wengi ulipwa Kati ya elf 40 hadi laki moja kwa mwezi.
Aisee! Huu ni unyanyasaji wa kijinsia kwa kweli. Sasa hiyo 40k itamfaa nini? Hata kununulia nguo zake tatu haitoshi
 
Ili mtu alale si inabidi akabembelezewe kitandani sasa ukishabembelezwa nini kituo kinachofuata
[emoji23][emoji23] Nitapitiwa na usingizi, hapo kuamka ni mpaka kesho asubuhi, tena nikikurupuka tu nawahi majukumu ya taifa

Labda kama atakuwa na mpango wa kunitunuku yeye kama yeye, hapo itabidi aandae mitego mingi mingi kwa kweli
 
Kwahiyo unataka kufanyiwa usafi,kupikiwa,kumbinya nyaunyau na matako pamoja na kuosha rungu kwa 9k per day?
Hapana mkuu, ni usafi, kupikiwa na kifuliwa. Nimeweka kigezo cha mwonekano ili niishi maisha ya usasa kiasi kwamba watu wakimtazama hausi geri, wakatazama na mazingira ya gheto langu, wakanitazama na mimi, waone kabisa huyu mtu ana usasa ndani yake

Sio nilete gejegeje ndani kiasi kwamba pakipambazuka watu hawatazami mlangoni kwangu
 
[emoji23][emoji23] Nitapitiwa na usingizi, hapo kuamka ni mpaka kesho asubuhi, tena nikikurupuka tu nawahi majukumu ya taifa

Labda kama atakuwa na mpango wa kunitunuku yeye kama yeye, hapo itabidi aandae mitego mingi mingi kwa kweli
Uko wapi?? Kuna mdada anatafuta kazi vigezo anavyo ulivyosema.
 
Ipo haja ya serikali iwatazame hawa housemaid umasikini wao usiwe kigezo cha mateso yao
Na kweli, bila hivyo watakuwa watumwa wa kazi za ndani maisha yao yote na wala wasipate namna ya kujikwamua na kuendelezs maisha wao kama wao zaidi ya kunyanyasika kimaisha na kingono. Hivyo kuathiriwa kisaikolojia

Unakuta binti anaamka saa 10 alfajiri, anafua nguo za familia ya watu kumi, bado kupika, analala saa 6 usiku, still analipwa elfu 2 kwa siku
 
Yeah,ulisema una kibamia nakumbuka
[emoji15][emoji15][emoji2] Aisee, sasa kibamia na dada wa kazi vinaingiliana vipi [emoji23][emoji23] Anyway, ndio maana nikasema hawezi kunyanyasika kingono kama atakuwa kwangu, ikibidi atakageuza kama sehemu ya mazoezi, akitoka nje na kanga yake anafika anakarukia tu "chumbwi"

Ona sasa, umma umekwisha fahamu kuwa nina kibamia [emoji24][emoji24]
 
Huu uzi ni majibu kwa zile post.za wadada wanaotafuta mume/mchumba kazi
 
Back
Top Bottom