Natafuta dada wa kazi kwa malipo ya 63k kwa wiki. Ninaishi peke yangu

Huu uzi ni majibu kwa zile post.za wadada wanaotafuta mume/mchumba kazi
Kwamba wachangamkie fursa mkuu? [emoji2] Lakini mimi sijalenga kuoa wala kumtumikisha mtu kimapenzi. Ila kama atajichanganya ni yeye mwenyewe, wala hakutokuwa na ongezeko la mshahara wa kujigegedea mkuyengeni kwangu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kijacheka kwa kufurahia ila hii comment yako
 
Kwamba wachangamkie fursa mkuu? [emoji2] Lakini mimi sijalenga kuoa wala kumtumikisha mtu kimapenzi. Ila kama atajichanganya ni yeye mwenyewe, wala hakutokuwa na ongezeko la mshahara wa kujigegedea mkuyengeni kwangu
Saaa unataka iwe huduma extra mkuu? Yani bure bure tuu?
 
Saaa unataka iwe huduma extra mkuu? Yani bure bure tuu?
Binafsi sintomuhitaji kingono, tena mimi kawaida yangu nikishakandwa na mafuta ya olive mgongoni huwa sitingishiki, badala yake nasinzia moja kwa moja, nakuja kushtuka asubuhi na kuwahi majukumu

Kusema eti akinibembeleza nilale nitaweza kumgeukia na kumtromba hiyo siyo kweli. Labda kama atanivizia usiku wa manane aanze kuchezea dubwasha, hapo atakuwa ni mwanakulitafuta mwanakulipata
 
Tafuta mke boya wee jamaa😅😅😅
 
Tafuta mke boya wee jamaa[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23]Hapana mkuu, ndoa ni changamoto. Wanawake hawaaminiki, ni sawa na kujiingiza kwenye kifungo huru cha Si Sar Madini

Bora kuwa na waziri wa chakula unayeishi naye pamoja na jopo la mawaziri wa mambo ya nje kutoka huko kwenye viwanja vyao, yaani unarudi nyumbani ukiwa mwepesiiiiiii
 
Anhaa kwahy wee jamaa ukirud kutok town unamparamia Tena mtot wa watu ,huoni utamfanya mtumwa ,kwann usioe ukatulia zako
 
Anhaa kwahy wee jamaa ukirud kutok town unamparamia Tena mtot wa watu ,huoni utamfanya mtumwa ,kwann usioe ukatulia zako
Hapana mkuu, nikitoka kazini napitia kwa wale dada zetu, kisha natandika viwili. Nikirudi gheto niko mwepesi. Huyu hausi geri ananikanda tu mabegani ili nisinzie, hata hivyo ni muda mfupi tu si chini ya dk 15 nakuwa nshapotea
 
Kwa hio unataka lala nae
Tutakuwa tunalala wote tu, mbona kitanda ni kikubwa tu? kwani tano kwa sita hakitoshi? Ye anabana huko ukutani, mimi nasogea upande wa pili, katikati tunaweka seng'enge au vipande vya chupa. Tunahakikisha tunalala mzungu wa nne
 
😅😅Wee jamaa boya kweli ,lengo lako ni nn nlizan unakaa nyumba kubwa ,kumbe kigheto cha mchongo tu
 
[emoji28][emoji28]Wee jamaa boya kweli ,lengo lako ni nn nlizan unakaa nyumba kubwa ,kumbe kigheto cha mchongo tu
Ni kwa vile tu mimi ni mvivu wa kufua, yaani naweza kusinzilia kwenye beseni. Pia chakula cha mgahawani huwa kinanitonesha madonda ya tumbo. Istoshe siwezi kupika kwa sababu nina alleji na moshi wa mafuta ya kupikia.

Nikaona ni vyema kutafuta kamamzi tu. Istoshe, mkono wa mwanamke huwa ni mwepesi, sometimes ukihitaji ka juisi kanatengenezwa chap kwa haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…