Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
- Thread starter
-
- #61
Awapi, mimi siwezi kumtromba bila utayari wake. Ni bora nipige puchu mbele yake kwa kumvutia hisia. Ukiona manyoya tu, ujue yeye binafsi ndo alilazimisha nimsukumie ukuniBaada ya mwezi unaanza kumpelekea maembe
Kuna fursa na michongoDaka fursa weweπ
Wewe ukihitaji dada wa kazi nishtue niandae mabegi kabisaaaaπ π π π
Na kweli wewe matawi mchongo haukufaiπππKuna fursa na michongo
Huo mchongo me siutaki
Huyu anataka mchumbaWewe ukihitaji dada wa kazi nishtue niandae mabegi kabisaaaa
Aaahh wapiNa kweli wewe matawi mchongo haukufaiπππ
Aahh wapiiiiiHuyu anataka mchumba
π π π π
Akiwa Bleed alete replacement πHello wanajukwaa,
Naomba kurudi kwenu kuomba kama nitapata binti wa kazi atakayekubali kwa hiki kiasi kidogo cha pesa nilichobarikiwa na Mola cha 63k kwa wiki, sawa na 9k kwa siku. Ni kwa vile tu hali ni ngumu kwa sasa
Binti anatakiwa awe na bidii ya kazi, nikisema binti wa kazi awe wa kazi kweli kweli, awe na umri kati ya miaka 17 na 21. Asiwe na mtoto, asiwe mtu wa kuranda randa mitaani na kwenye majumba ya watu, asiwe na kiburi au dharau, asiwe mrefu kiivyo wala mfupi kiivyo, awe na urefu wa kati, walau anifikie kifuani, asiwe mnene sana wala asiwe kimbaumbau, awe na sauti nyororo kiasi kwamba nikiskia "Karibu chakula boss" hata kama nimeshiba nihisi njaa kali sana.
Awe ni mtu wa kuonesha tabasamu kutoka kwenye sura yake ya malaika kiasi kwamba aendane na mwonekano wa gheto langu lenye kitanda na godoro 5Γ6, vyombo vichache tu pamoja na jiko la gesi, smart tv ya High HQ inch 32, home theater ya mchongo niliyoinunua kwa 120k na flash ya movie
Sakafu ya gheto langu ina vigae, hivyo kumrahisishia zoezi zima la kufanya usafi. Kazi zitakazokuwepo ni pamoja na kuamka saa 11 ili kunitayarishia chai na maji ya kuoga, kunifulia nguo (mara moja kwa wiki), usafi ndani kwangu, kunitayarishia chakula cha jioni, kunilisha na kunibembeleza ili nilale
Ofa atakazozipata ni pamoja na 40k jumamosi ya mwisho ya mwezi kwa ajili ya matumizi yake binafsi, 10k ndani ya wiki ya pili ya mwezi kwa ajili ya Pedi.
Kazi ninayoiona ni ngumu hapa kwangu labda ni kufua tu, hata hivyo huwa sichafui nguo saaana. Kuhusu usafi aondoe shaka, maake nyumba yangu ni chumba kimoja tu (gheto)
Anayewiwa, au anayeweza kunipa connection ya kumpata anicheki PM
Muhimu: Binti huyo awe na mtrako skonzi unaonesa nesa, asiwe mtu wa kugawa gawa, awe na nyou nyou zinazoeleweka
Nawasilisha, msaada wakuuView attachment 2422654
Aiseeh unataka Dada wa kazikweli kweli π€£π€£π€£Hello wanajukwaa,

Umenikumbusha huyu jamaa wa America's got talent, Daliso ChapondaLengi sio kusuuza rungu, kikubwa ni kumpata dada wa kazi ambaye akiwa kwangu nitakuwa na mbwembwe za kurudi nyumbani mapema. Siku hizi nimekuwa mvivu wa kurudi kwangu, muda mwingine najikuta naishia kulala viwanja na bar
πππHello wanajukwaa,
Naomba kurudi kwenu kuomba kama nitapata binti wa kazi atakayekubali kwa hiki kiasi kidogo cha pesa nilichobarikiwa na Mola cha 63k kwa wiki, sawa na 9k kwa siku. Ni kwa vile tu hali ni ngumu kwa sasa
Binti anatakiwa awe na bidii ya kazi, nikisema binti wa kazi awe wa kazi kweli kweli, awe na umri kati ya miaka 17 na 21. Asiwe na mtoto, asiwe mtu wa kuranda randa mitaani na kwenye majumba ya watu, asiwe na kiburi au dharau, asiwe mrefu kiivyo wala mfupi kiivyo, awe na urefu wa kati, walau anifikie kifuani, asiwe mnene sana wala asiwe kimbaumbau, awe na sauti nyororo kiasi kwamba nikiskia "Karibu chakula boss" hata kama nimeshiba nihisi njaa kali sana.
Awe ni mtu wa kuonesha tabasamu kutoka kwenye sura yake ya malaika kiasi kwamba aendane na mwonekano wa gheto langu lenye kitanda na godoro 5Γ6, vyombo vichache tu pamoja na jiko la gesi, smart tv ya High HQ inch 32, home theater ya mchongo niliyoinunua kwa 120k na flash ya movie
Sakafu ya gheto langu ina vigae, hivyo kumrahisishia zoezi zima la kufanya usafi. Kazi zitakazokuwepo ni pamoja na kuamka saa 11 ili kunitayarishia chai na maji ya kuoga, kunifulia nguo (mara moja kwa wiki), usafi ndani kwangu, kunitayarishia chakula cha jioni, kunilisha na kunibembeleza ili nilale
Ofa atakazozipata ni pamoja na 40k jumamosi ya mwisho ya mwezi kwa ajili ya matumizi yake binafsi, 10k ndani ya wiki ya pili ya mwezi kwa ajili ya Pedi.
Kazi ninayoiona ni ngumu hapa kwangu labda ni kufua tu, hata hivyo huwa sichafui nguo saaana. Kuhusu usafi aondoe shaka, maake nyumba yangu ni chumba kimoja tu (gheto)
Anayewiwa, au anayeweza kunipa connection ya kumpata anicheki PM
Muhimu: Binti huyo awe na mtrako skonzi unaonesa nesa, asiwe mtu wa kugawa gawa, awe na nyou nyou zinazoeleweka
Nawasilisha, msaada wakuuView attachment 2422654
Kule umetuambia mkeo alizingirwa na madeni ya vikoba na sasa hapa una ulimi wa piliHello wanajukwaa,

Wapo humo jisajili ushangae uumbaji
Weka link ya huo uzi niliozungumza hapa ili kuthibitisha. Mie sina uzi wa namna hiyo mkuuKule umetuambia mkeo alizingirwa na madeni ya vikoba na sasa hapa una ulimi wa pili