Natafuta dada wa kazi za nyumbani.

Natafuta dada wa kazi za nyumbani.

osmaney

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2017
Posts
1,042
Reaction score
998
Habari wapendwa!

Samahani, natafuta dada wa kazi za nyumbani. atakuwa anaishi nyumbani. na nyumba ipo na mke pamoja mtoto tu.


Kigezo; Awe na miaka kwanzia 18 - 24, Mchamungu & anayejielewa.

Eneo: Dar es salaam.

Mshahara: Maelewano.

Mawasiliano: +255 676 797 679
 
Habari wapendwa wa jukwaa hili.

Natafutwa dada wa kufanya kazi za nyumbani.

Kigezo; Awe na tabia nzuri.

Eneo; Dar es salaam.

Mawasiliano : +255 676 797 679
Kuanzia umri gani? Vp wew unaetafuta dada wa kazi umeoa? Elewesha vzr
 
Hii thread kama inajirudia, mara ya kwanza haukupata Dada wa kazi?
 
Wewe mwanaume unahangaikaje kutafuta dada wa kazi,huyo mkeo kazi yake ni nini?
 
Back
Top Bottom