Natafuta daktari anayeweza kuniwekea meno ya bandia Dodoma Mjini

Natafuta daktari anayeweza kuniwekea meno ya bandia Dodoma Mjini

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,548
Reaction score
9,740
wakuu kama kichwa kinavojielewa naomba kujuzwa na anaye fahamu ni wapi Dodoma mjini wanatoa huduma ya kuweka meno ya bandia ya kudumu

NB ukinitajia na bei nitashukuru zaidi
 
Back
Top Bottom