jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,645
Natafuta dakitari wa mifugo alieyeko Mwanza specifically.
Igoma
Buhongwa
Kisesa au maeneo karibu na hayo
Igoma
Buhongwa
Kisesa au maeneo karibu na hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna bachelor ya Vertinary medicine anapatikana mitaa ya igudija kisesa na mwingine Diploma ya Animal Science kisesa. Unataka contact za yupi
Igudija Ni Mitaa au Ni Kijiji?Kuna bachelor ya Vertinary medicine anapatikana mitaa ya igudija kisesa na mwingine Diploma ya Animal Science kisesa. Unataka contact za yupi
0769711327 yuko Igoma stendi hapoNatafuta dakitari wa mifugo alieyeko Mwanza specifically.
Igoma
Buhongwa
Kisesa au maeneo karibu na hayo
Uzi wa mwaka Jana, mpuuzi ndio unaamka sasa hivi🤣🤣0769711327 yuko Igoma stendi hapo
sikuona mpuuziUzi wa mwaka Jana, mpuuzi ndio unaamka sasa hivi🤣🤣