Natafuta dalali wa magari

Natafuta dalali wa magari

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
784
Reaction score
327
Habari zenu ndugu,

Naomba msaada kutoka kwa wapenda maendeleo wenzangu. Naagiza magari ya kuuza lakini focus yangu ni kuuza mikoani kwani mjini sasa hivi kila mtu anaagiza magari na demand mikoani bado ni kubwa ila tatizo network.

Naomba kwa yeyote ataeweza kunisaidia mawasiliano ya dalali wa kuuza magari kutoka mkoa wowote Tanzania ili niwashirikishe kwenye mchakato huu.. Najua at some point ushawahi kutana na hawa jamaa kama ushauza au kununua gari.

Hizi ni harakati za kujikwamua kupunguza umaskini kwahio ukinisaidia mawasiliano haya utakuwa umemsaidia pia huyo dalali na familia yake kwani hauzi magari bure.

Naomba nitumie kwenye inbox mawasiliano hayo tafadhali kwani sio vizuri kuweka kwenye public mawasiliano ya mtu bila ridhaa yake.

Natanguliza shukrani.

Asha,

:smiling:
 
Shukran kwa contacts chache nlizopata mpaka sasa. Bado nangoja mawasiliano zaidi
 
Mwaga Business Profile lako hapa.
Maana usije kuwa wewe mwenyewe dalali.
Mie nakushauri kama ni wewe mwenyewe basi tengeneza website kisha fanya promotions mikoani.
Siku hizi asikudanganye mtu mikoani nao wajanja sana tu,maendeleo sio kama yale ya zamani.

Mie ningeweza kushirikiana na wewe kwa kutengeneza website na kufanya promotions mikoani mwenyewe ila hakimiliki iwe yangu.
 
Habari zenu ndugu,

Naomba msaada kutoka kwa wapenda maendeleo wenzangu. Naagiza magari ya kuuza lakini focus yangu ni kuuza mikoani kwani mjini sasa hivi kila mtu anaagiza magari na demand mikoani bado ni kubwa ila tatizo network.

Naomba kwa yeyote ataeweza kunisaidia mawasiliano ya dalali wa kuuza magari kutoka mkoa wowote Tanzania ili niwashirikishe kwenye mchakato huu.. Najua at some point ushawahi kutana na hawa jamaa kama ushauza au kununua gari.

Hizi ni harakati za kujikwamua kupunguza umaskini kwahio ukinisaidia mawasiliano haya utakuwa umemsaidia pia huyo dalali na familia yake kwani hauzi magari bure.

Naomba nitumie kwenye inbox mawasiliano hayo tafadhali kwani sio vizuri kuweka kwenye public mawasiliano ya mtu bila ridhaa yake.

Natanguliza shukrani.

Asha,
0767515333

:smiling:

Agiza!!!
 
ntaku call...asha
 
Back
Top Bottom