Natafuta dalali wa nyumba sinza na maeneo ya jirani

Natafuta dalali wa nyumba sinza na maeneo ya jirani

mwepesi

Senior Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
155
Reaction score
96
Mie ni mgeni hapa jiji ninataka kupanga chumba kimoja ambacho ni self ninaomba msaada kwa mtu anaefahamu madalali wanapopatikana hapo sinza wanisaidie kutafuta
 
Back
Top Bottom