rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,123
- 1,302
Ungeweka mahali hapo makongo juu anapofanyia kazi zake za dojo kwenye uzi huu, au jina lake, kwa manufaa ya wanaopenda hii michezo na watakao mtafuta mkuu.
Pamoja mkuuSawa mkuu nitaweka hapa kila kitu kuhusu huyu sensei wa makongo juu ni mtu htr sn maana alikaa sn Korea kwa ajili ya Tae-kwan-do, pia kwa wale washabiki wa shotokan karate na wadau karibu sn jamani japo tupeane mawili matatu
[emoji3][emoji3]Ni vizuri kuwa fit kujianda na purukushani za Mwakani katika harakati za kung'oa Jiwe
Dah iyo shotokan karate nimeona hatari zake youtube nahisi ni ze besti aseeSawa mkuu nitaweka hapa kila kitu kuhusu huyu sensei wa makongo juu ni mtu htr sn maana alikaa sn Korea kwa ajili ya Tae-kwan-do, pia kwa wale washabiki wa shotokan karate na wadau karibu sn jamani japo tupeane mawili matatu
Dah iyo shotokan karate nimeona hatari zake youtube nahisi ni ze besti asee
Yea ipo vzr sn shotokan, ingia youtube mtafute funakoshi gichini ndo utajua mziki wa shotokan, but hizi sanaa za mapigano inategemea na ubora wa mwalimu na uwezo wako wa wewe kukielewa kile kitu coz ata shorinji kenpo ni moja ya michezo mizuri sn. ila binafsi ninapenda michezo yenye asili ya Japan kama karate, shorinji kenpo, judo , aikido na mengine mingi
Hilo teke mtu lazima ucheuwe kiporo ulichokula juzi *****.Shotokan wapo walimu wazuri kama sensei chikoko binafsi nina muelewa snView attachment 1275961
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio kwa huyo Sempay
Hilo teke mtu lazima ucheuwe kiporo ulichokula juzi *****.
Usisahau kututag yule jamaa wa taekwando makongo juu.
Nataka kujinoa mafunzo ya taichi niwe napaa ka jet li kwenye fong sai yuk
Ile style ni nzuri wala hutumii maguvu kama karate yenyewe unacheza na upepo tu
kabisa mkuu umenena vyema hili swala linatakiwa liendane na rikaJipange inawezekana sn ukishindwa ww basi mfanye mtt wako awe kama ulivyotaka kua ww maana kung fu inaitaji maandalizi mapema kabla mwili ujakomaa sn
Njoo kwenye dojo langu,field mtakuwa mnapelekwa china,pia
Tafuta pesa ndo self defense
Mkuu shotogkhan unachezea wapi nami nijiunge nikumbushe enzi za ujanaSawa mkuu nitaweka hapa kila kitu kuhusu huyu sensei wa makongo juu ni mtu htr sn maana alikaa sn Korea kwa ajili ya Tae-kwan-do, pia kwa wale washabiki wa shotokan karate na wadau karibu sn jamani japo tupeane mawili matatu