rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,123
- 1,302
Sawa mkuu nitaweka hapa kila kitu kuhusu huyu sensei wa makongo juu ni mtu htr sn maana alikaa sn Korea kwa ajili ya Tae-kwan-do, pia kwa wale washabiki wa shotokan karate na wadau karibu sn jamani japo tupeane mawili matatu
Ungeweka mahali hapo makongo juu anapofanyia kazi zake za dojo kwenye uzi huu, au jina lake, kwa manufaa ya wanaopenda hii michezo na watakao mtafuta mkuu.