Natafuta darasa zuri Karate kwa ajili ya Self defence

Natafuta darasa zuri Karate kwa ajili ya Self defence

Dady sio sempai ni sensei na neno sempai kwa usahihi ni senpai, by the way hongera na pole kwa yaliyokukuta, walimu wapo wengi sn wazuri wa huu mchezo tatizo la bongo ni u binafsi na ujuaaji ndo maana hatufiki mbali maana kila mtu anajiona bora kumzidi mwenzie ukienda kwa sensei chikoko hawaelewani na sensei jango, sensei dadi wawaelewani na sensei Ringo yaan furu majigambo, mashurikisho nayo shida JKA wanajiona bora kuliko SKIF , by the way tafuta mwalim ambaye unaona atakufa binafsi ni mdau mkubwa sn kwenye huu mchezo ila kwa sasa nimeumia goti mwaka jana kwenye mashindano ya karate mwezi wa tisa so bado nauguza mguu nilianza JKA chini ya sensei muudy then baadae nikaja kwa sensei chikoko ndo mpk sasa ni member wa SKIF TANZANIA, CHIKOKO ni miongoni mwa walimu mashuhuri sn kwenye Sanaa hii ya mapigano pia ana jina kubwa sn yeye ana Dan 4. Ukiwa na swali lolote uliza utajibiwa kwa uelewa wangu.
 
Nendeni Misikitini Kuna wale akina Sensei Ramadhan na mwenzake Kareem wanavaa zile za kuishia kwa ugoko wanapiga haswaaa!!!
 
Dady sio sempai ni sensei na neno sempai kwa usahihi ni senpai, by the way hongera na pole kwa yaliyokukuta, walimu wapo wengi sn wazuri wa huu mchezo tatizo la bongo ni u binafsi na ujuaaji ndo maana hatufiki mbali maana kila mtu anajiona bora kumzidi mwenzie ukienda kwa sensei chikoko hawaelewani na sensei jango, sensei dadi wawaelewani na sensei Ringo yaan furu majigambo, mashurikisho nayo shida JKA wanajiona bora kuliko SKIF , by the way tafuta mwalim ambaye unaona atakufa binafsi ni mdau mkubwa sn kwenye huu mchezo ila kwa sasa nimeumia goti mwaka jana kwenye mashindano ya karate mwezi wa tisa so bado nauguza mguu nilianza JKA chini ya sensei muudy then baadae nikaja kwa sensei chikoko ndo mpk sasa ni member wa SKIF TANZANIA, CHIKOKO ni miongoni mwa walimu mashuhuri sn kwenye Sanaa hii ya mapigano pia ana jina kubwa sn yeye ana Dan 4. Ukiwa na swali lolote uliza utajibiwa kwa uelewa wangu.
Mkuu gharama zake zinakuwaje maana hata mimi nataman sana hii kitu pia vp khs umr
 
Baada ya pushup za mchanga wa moto, kesho yake ilikuwa mpige msamba, miguu inavutwa mpaka unaskia ko.. Ko.. Ko [emoji23]

Mkuu kama ni self defense achana na hao Walimu, ingia YouTube kuna moves kibao, tofauti tofauti, za karate, taikondo, kick boxing, kungfuu.... Yaani full kuchanganya

Pia mazoezi ya conditioning yapo ya kutosha, utakomaa kila kiungo ikiwemo vidole, ugoko, mikono n.k

Ila kama unataka ushiriki mashindano, nenda chuo huko "wakakuue". Halafu huyo ticha mkuda sana, badala awaanzishie step ndogo ndogo, yeye anataka siku hiyo hiyo muwe kama yeye. Sipati picha mlivyoangaliana baada ya kuambiwa kesho ni pushups kwenye mchanga wa moto [emoji23][emoji23]

Ni hivi, wiki tatu zilizopita Jamaa mmoja anaitwa SEMPAY Dadi kama nimekosea hapo kwenye Sempai nirekebisheni, alituanzishia mazoezi, Tatizo ni kwamba aina yenyewe ya mazoezi ni kana kwamba tunajiandaa kupigana na ndovu na si SELF DEFENCE, TULIKUWA WATU 25,

Siku ya kwanza tu tumeanza kupiga Push up kwenye kokoto, kila mmoja ametoka hapo anavuja damu kwenye mikono tena pushup 50, siku ya pili tumerudi watu 15 tu wengi siku ya pili ndo ilikuwa balaa yaani hayo mazoezi si mchezo wakapungua tena watu 5 tukabaki 10.

Siku iliyofuata tulifanya mazoezi mpaka mmoja akajinyea, tukaambiwa tujiandae kwani kesho tutapiga pushup kwenye mchanga wa moto, Hiyo siku hakutokea mtu na ndio ulikuwa mwisho wa darasa, Binafsi bado sijakata tamaa ingawa si kwa mtindo ule tena. Ndiyo nimekuja kwenu wadau naomba kufahamishwa wapi kuna darasa zuri ambalo linafundisha kwa taratibu za kueleweka.
 
Karate waweza kucheza ukiwa na umri wowote ule mie nilitrain na watu wazima kabisa na wakaja kua fit kikubwa ni uvumilivu tu
 
Tae-kwan-do kuna sensei yupo makongo juu pale yupo vzr sn kwenye huo mchezo jina lake kidogo limenitoka but ukiitaji ntakuunganisha nae but karate wapo wakina shihan chikoko, jango (manzese ), Jerome, dady, muddy (mbagala ) kudra (mbezi ) na wengine wengi
Hivi bongo kuna dojo gani zuri la taekwando? Karate zipo dojo nyingi, za mtaani na za club.
 
Kipindi fulani pale UDSM kuna wachina walikuwa wanafundisha Kung Fu.
Mwezi wa kwanza ilikuwa free(bure) baada ya hapo ni 60k kila mwezi.
Hata sasa hivi watakuwa bado wanaendelea, fuatilia
 
Ungeweka mahali hapo makongo juu anapofanyia kazi zake za dojo kwenye uzi huu, au jina lake, kwa manufaa ya wanaopenda hii michezo na watakao mtafuta mkuu.
Tae-kwan-do kuna sensei yupo makongo juu pale yupo vzr sn kwenye huo mchezo jina lake kidogo limenitoka but ukiitaji ntakuunganisha nae but karate wapo wakina shihan chikoko, jango (manzese ), Jerome, dady, muddy (mbagala ) kudra (mbezi ) na wengine wengi
 
hiyo ndo karate sasa,,self defence ni vita lazma uwe fiti,hujui atakae kuja kukudhuru anaweza kuja kama tembo
 
Tae-kwan-do kuna sensei yupo makongo juu pale yupo vzr sn kwenye huo mchezo jina lake kidogo limenitoka but ukiitaji ntakuunganisha nae but karate wapo wakina shihan chikoko, jango (manzese ), Jerome, dady, muddy (mbagala ) kudra (mbezi ) na wengine wengi
Sorry naomba mawasiliano ya huyu wa manzese
 
Back
Top Bottom