Natafuta Dashboard saa ya Nissan Caravan ZD30 ya mwaka 3003

Natafuta Dashboard saa ya Nissan Caravan ZD30 ya mwaka 3003

cacashian01

Member
Joined
Mar 3, 2016
Posts
76
Reaction score
62
Rejea kichwa cha habari nahitaji hiyo bidhaa niko dar.ina boya 3 na gari ni automatic ya Mwaka 2003
IMG-20211118-WA0078.jpg


Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
cacashian01
Nenda Tandale wanapo katakata magari na kuuza spear, Ulizia Mtu anaitwa DANGOTE, yeye ni Dealer wa NISSAN Tu, anaweza kuwa nayo au akakupa mwongozo.
 
Kama unaishi DSM zama mtaa wa Shaurimoyo na mtaa wa Lindi kuanzia Machinga Complex hadi vinapokutana na mtaa wa Msimbazi. Hapo zinauzwa "spare parts used" za kila aina.
Shauri moyo pia nimezunguka mitaa kadhaa sijapata labda kama kesho tena niamkie huko mapema.ambayo nimepata niya manual,hii ninayo hitaji ni automatic

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom