Natafuta dawa ndogo za meno

Natafuta dawa ndogo za meno

Mkulima

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2007
Posts
1,236
Reaction score
1,546
Natafuta dawa ndogo sana za meno kwa Dar kwa muuzaji wa Jumla.

Ni kwa ajili ya matumizi ya hoteli.

272DDDD6-C6E0-4BEA-9B46-C3DB569E1C0A.jpeg
 
Mimi natafuta duka au mtu yeyote anayeziuza kwa bei ya Jumla.

Kama unauza Nitumie bei yake inbox
 
Boss nipe kazi ya procurement niwe nakutafutia kariakoo nakuletea kwa makipo tutakayoelewana vitu vyovyote utakavyotaka itakurahisishia ww kufanya vitu vingine na kupata bidhaa kwa bei rahisi sana
Nitumie namba yako ya simu inbox
 
Back
Top Bottom