Natafuta dawa/ufumbuzi wa constipation(kukosa choo)

Natafuta dawa/ufumbuzi wa constipation(kukosa choo)

Anzia na juice ya ukwaju. The kula vyakula vyenye fibre yaani nyuzinyuzi kama mihogo viazi nk. Naushauri mwingine uliopewa tayari
 
Mkuu hiyo kitu usipime nilinunua maduka flani ya kiswahili pale kariakoo shuguli yake niliona sikutoka ndani maana ilikwangua kila kitu nadhani sumu ziliisha
hahahaha... mimi nilibinafsisha choo cha nyumbani kwa mda usiojulikana!! nilikua mkali sana siku hiyo!! shughuli yake ni nzito Mkuu....
 
Daah sio siri ebhana mmetisha kinyamaa..
 
Kunywa juice ya ukwaju iwe nzito kiasi na ukiweza kunywa ikiwa ya uvuguvugu au yenye moto kidogo...
 
Back
Top Bottom