mzamifu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2010 Posts 6,400 Reaction score 3,853 Jun 18, 2016 #21 Anzia na juice ya ukwaju. The kula vyakula vyenye fibre yaani nyuzinyuzi kama mihogo viazi nk. Naushauri mwingine uliopewa tayari
Anzia na juice ya ukwaju. The kula vyakula vyenye fibre yaani nyuzinyuzi kama mihogo viazi nk. Naushauri mwingine uliopewa tayari
Amanito JF-Expert Member Joined Nov 20, 2015 Posts 259 Reaction score 553 Jun 18, 2016 #22 Mavipunda said: Mkuu hiyo kitu usipime nilinunua maduka flani ya kiswahili pale kariakoo shuguli yake niliona sikutoka ndani maana ilikwangua kila kitu nadhani sumu ziliisha Click to expand... hahahaha... mimi nilibinafsisha choo cha nyumbani kwa mda usiojulikana!! nilikua mkali sana siku hiyo!! shughuli yake ni nzito Mkuu....
Mavipunda said: Mkuu hiyo kitu usipime nilinunua maduka flani ya kiswahili pale kariakoo shuguli yake niliona sikutoka ndani maana ilikwangua kila kitu nadhani sumu ziliisha Click to expand... hahahaha... mimi nilibinafsisha choo cha nyumbani kwa mda usiojulikana!! nilikua mkali sana siku hiyo!! shughuli yake ni nzito Mkuu....
Black7 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 367 Reaction score 116 Jun 18, 2016 Thread starter #23 Daah sio siri ebhana mmetisha kinyamaa..
Black7 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 367 Reaction score 116 Jun 18, 2016 Thread starter #24 Thanks sana wadau
JtheQueen Member Joined Nov 26, 2015 Posts 89 Reaction score 102 Jun 24, 2016 #25 Kunywa juice ya ukwaju iwe nzito kiasi na ukiweza kunywa ikiwa ya uvuguvugu au yenye moto kidogo...