Natafuta dawa ya kienyeji ya kutibu malaria

sasa picha zako zinahusiana nini na dawa?

Anyway katafute mlonge longe unapatikana mikoa ya pwani mpaka morogoro!
chuma majani yake kausha halafu saga!
kunywa glas moja mara3,maji ya vugu vugu!
Ni kinga tosha
Kinga au tiba??
 
Majani kiasi gani?
 
mwarobaini chuma maji yale mateke mateke(machanga) kunywa kila baada ya muda fulani(jipangie mwenyewe) for the rest of your life
 
Tafuta mizizi ya mkwizingi huu mti ni balaa unatibu malaria kwa glasi tatu.
Kwa dar wanauita mkundekunde ni mti wenye matunda marefu membamba halafu ni evergreen kama ilivyo mwarobaini.
 
Zandu
 
Kuna shamba la NIMR lipo Tanga kula wameotesha mimea ya dawa mbalimbali.

Nko mbali kwa sasa labda uni pm baada ya mwezi nitakutumia picha na majina ya izo dawa.
Sawa mkuu nimekuelewa nakuja pm.
 
Tafuta mizizi ya mkwizingi huu mti ni balaa unatibu malaria kwa glasi tatu.
Kwa dar wanauita mkundekunde ni mti wenye matunda marefu membamba halafu ni evergreen kama ilivyo mwarobaini.
Ok mkuu nimekupata vizuri
 
sasa picha zako zinahusiana nini na dawa?

Anyway katafute mlonge longe unapatikana mikoa ya pwani mpaka morogoro!
chuma majani yake kausha halafu saga!
kunywa glas moja mara3,maji ya vugu vugu!
Ni kinga tosha
Mkuu inatakiwa kuweka kiasi gani cha mlonge uliosagwa kwenye glas moja ya maji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…