Natafuta dawa ya kuondoa Bandage kwenye kidonda

Natafuta dawa ya kuondoa Bandage kwenye kidonda

Samir7900000

Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
52
Reaction score
26
Ndugu JF jeraha langu lina siku 3 toka pamewekwa dawa na bandage, doctor aliniambia ndani ya siku 3 niitoe nilipo niko mbali na hospital na bandage imeshika imekauka kwenye kidonda, je nitumie njia IPI kuindoa bila kuumia
 
Chemsha maji, yapoe, weka kwenye bakuli na uyatumie kulowanisha bandage, unaweza kuyaweka chumvi kidogo na kuyatumia kuosha kidonda pia.
 
Maji safi changanya na chumvi kidogo, mwagia then anza kutoa taratibu, ukiona imeshika sana loanisha tena hadi pawe tepetepe!
 
Back
Top Bottom