Samir7900000 Member Joined Jul 26, 2016 Posts 52 Reaction score 26 Aug 4, 2016 #1 Ndugu JF jeraha langu lina siku 3 toka pamewekwa dawa na bandage, doctor aliniambia ndani ya siku 3 niitoe nilipo niko mbali na hospital na bandage imeshika imekauka kwenye kidonda, je nitumie njia IPI kuindoa bila kuumia
Ndugu JF jeraha langu lina siku 3 toka pamewekwa dawa na bandage, doctor aliniambia ndani ya siku 3 niitoe nilipo niko mbali na hospital na bandage imeshika imekauka kwenye kidonda, je nitumie njia IPI kuindoa bila kuumia
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Aug 4, 2016 #3 Chemsha maji, yapoe, weka kwenye bakuli na uyatumie kulowanisha bandage, unaweza kuyaweka chumvi kidogo na kuyatumia kuosha kidonda pia.
Chemsha maji, yapoe, weka kwenye bakuli na uyatumie kulowanisha bandage, unaweza kuyaweka chumvi kidogo na kuyatumia kuosha kidonda pia.
komba05 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 367 Reaction score 291 Aug 4, 2016 #4 Maji safi changanya na chumvi kidogo, mwagia then anza kutoa taratibu, ukiona imeshika sana loanisha tena hadi pawe tepetepe!
Maji safi changanya na chumvi kidogo, mwagia then anza kutoa taratibu, ukiona imeshika sana loanisha tena hadi pawe tepetepe!