Natafuta dawa ya kuua kicheche

Natafuta dawa ya kuua kicheche

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
WALE WENYE UDHOEFU MSAADA PLS

TUMEVAMIWA NA VICHECHE WAMEKULA KUKU WANGU WAKUBWA MPAKA.UNAONA HURUMA YAANI SAIZI YA KATI WAKISUBIRIA KUTAGA

SIJUI ANAEJUA DAWA YAKE AMANI AIPO TENA HATA NJE ATUWATOI TENA NA N KUKU WA KIENYEJI
 
NENDA YOU TUBE KULE KUNA VIDIO MBALIMBALI ZA JINSI YA KUTENGENEZA MITEGO
 
Uko maeneo gani mpwa nitume kijana? Kitoweo safi..
 
Wanawala mchana mkuu?
MCHANA NA USIKU MKUU IMENIUMA YAAN KUKU ULIKUWA UKIWATOA NJE WAKINIONA LAZIMA WANIZUNGUKE WATOE SALAMU NOW NAOGOPA HATA KUWAFUNGIA AISEE..

UPANDE WA.SUMU SIJAJUA NIWAWEKEE KWENYE NYAMA AMA.MAANA NAMBIWA WANAKUNYWA DAMU DOOOH LABD ANKAOMBE MUHIMBILII
 
Hivi vicheche uwa hawanywi maziwa au kula ugali kama paka? Maana ukitaka kuua paka unaweza kutumia dawa ya mende au kusaga chupa kupata unga ambao utauchanganya kwenye maziwa au ugali.
 
Vicheche huwa wanakamata kuku wadogo Anayekalibia kutaga kicheche hamuwezi, nina wasi wasi kuna mnyama mwingine mla kuku maeneo yako.
 
Vicheche huwa wanakamata kuku wadogo Anayekalibia kutaga kicheche hamuwezi, nina wasi wasi kuna mnyama mwingine mla kuku maeneo yako.
Mhhh asubuhi nimekuta kuku wangu alikuwa analalia na kaanza kutotoa nimekuta vitoto vimeliwa vyote .

Kuku mkubwa kakatwa shingo nashangaa kukuta damu na kichwa pembeni pembezoni ukutani nakuta mzoga wa kuku.
 
Huyo sasa siyo kicheche mkuu, kuna mnyama mwingine hapo nimemsahau jina.
 
Back
Top Bottom