Natafuta Dawa ya Panya

Natafuta Dawa ya Panya

Nikiangalia Comment za watu wengi Humu ndani naishia kujiskia vibaya kama vile mimi ni muuliza swali,kiukweli sijajua tatizo la JF hii hadi leo,maana kipindi cha nyuma kidogo ukiuliza swali kama hili ilikua lazma upate solution nzuri..ila nowdays ni utani,kejeli na dhihaka mno kuuliza swali JF,kama mtu hajauliza swali kwa Utani au dhihaka kwann umjibu hivyo? Si ustaarabu hata kidogo, tujifunze kunyamaza pale ambapo tunaweza kuwakwaza watu wengine..hasa wenye Matatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
post nyingine nazo si za dunia hii, ni kero tupu
 
hawa paka wa mjini chenga sana,wangu anajifanya hali panya,hata akimuua anamchezea afu anasepa,ye anakunywa maziwa tu na nyama ya kupikwa
Lol, wako kama wangu aiseee hahahaha full vituko, maziwa yenyewe ataangalia nikinywa mtindi yeye nikimpa fresh hanywi kesho niseme nimpe mtindi hanywi anataka fresh yaaan full vituko.... na hali chakula kama hakijawekwa kwenye sahani yake.... samaki mbichi au nyama mbichi anakula ila baadae anatapika sasa nawaza siku akimpata panya ataweza kumla au ataona kinyaa!!!. lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Weka vitu ktk hali ya usafi na kuwe na uwazi ambao unaruhusu kila kitu kuonekana, mfano uvungu wa kitanda, meza, kabati, usihifadhi vitu vilivyokwisha kazi mfano makopo, mifuko ya Rambo, au kuhifadhi Nguo Chifu hivyo, kuwa na kikapu maalum, vyombo vichafu visishinde sana ndani, soksi kama ni me mjitahidi kufua Viatu view visafi pia
 
same scenario aisee,nilikuwa na jike mwanzo,alikuwa na nidhamu,hachagui chakula na panya anadaka,alikuwa akiniona nimelala kwenye kiti au kitandani nayeye anakuja tatizo somo la uzazi wa mpango alifeli deile mimba,akajaga kufa nkachukua haka kadume suruali nlikonako hivi sasa,rest in peace Mindy u are missed.
 
Mkuu nahisi hujamuelewa mtoa mada

Hataki kutumia sumu, anatafuta dawa ya kuwafukuza tu

Indocid ukiweka wanakula ukichochanganya na hiyo dawa halaf ikisha wanafia mafichoni humo humo ndani mkuu

Me nahisi dawa ya hawa viumbe ni kujipangilia vyema ndani mwako, kupanga vitu vyako kwa hali ya usafi na mtiririko mzuri

Madame S
truu.
 
Lol, eti dume suruali hahahaha wangu ni Boy pia mama ake alifariki na aliwazaa mapacha tu... kaka ake akafariki pia.... Nampenda sana coz kipindi wanazaliwa mama ake aliwazaa sitting room huku nikishudia mwanzo mwisho.... alifariki akamuacha mdogo sana hivyo nilimlea since ana 2 months mpk sasa ana 5 yrs old.... wow.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Mkuu nahisi hujamuelewa mtoa mada

Hataki kutumia sumu, anatafuta dawa ya kuwafukuza tu

Indocid ukiweka wanakula ukichochanganya na hiyo dawa halaf ikisha wanafia mafichoni humo humo ndani mkuu

Me nahisi dawa ya hawa viumbe ni kujipangilia vyema ndani mwako, kupanga vitu vyako kwa hali ya usafi na mtiririko mzuri

Madame S
Mbona muulizaji kaeleza vizuri kabisa kwamba anahitaji dawa ya kuua panya na si dawa ya kuwafukuza. Ila kwa upande wa paka ndiyo kasema paka mwenye uwezo wa kuwaua au kuwafukuza hao panya.
 
Asante kwa kunielewesha mkuu

Madame S
 
Lol, eti dume suruali hahahaha wangu ni Boy pia mama ake alifariki na aliwazaa mapacha tu... kaka ake akafariki pia.... Nampenda sana coz kipindi wanazaliwa mama ake aliwazaa sitting room huku nikishudia mwanzo mwisho.... alifariki akamuacha mdogo sana hivyo nilimlea since ana 2 months mpk sasa ana 5 yrs old.... wow.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
I love cats aisee,wangu sijui hata anamiaka mingapi,ila nadhani inazidi minne.
 
Weka vitu ktk hali ya usafi na kuwe na uwazi ambao unaruhusu kila kitu kuonekana, mfano uvungu wa kitanda, meza, kabati, usihifadhi vitu vilivyokwisha kazi mfano makopo, mifuko ya Rambo, au kuhifadhi Nguo Chifu hivyo, kuwa na kikapu maalum, vyombo vichafu visishinde sana ndani, soksi kama ni me mjitahidi kufua Viatu view visafi pia

Wakuu nahitaji dawa effective ya kuua panya kwani nyingi ni fake.... au ninapoweza kupata hata paka/nyau ambaye yuko makini katika kuua na kufukuza panya.......ushauri unaruhusiwa pia..natanguliza shukurani
 
Back
Top Bottom