Natafuta dawa ya udomo zege!

Vodka

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
906
Reaction score
96
Jamani ninampenda huyu binti,tatizo sijui ni woga au ndo nimempenda sana au swaga zinagoma au ndo udomo zege! Kwani kwa wasichana wengine siogopi ila huyu,dah hata kumsalimia najishtukia.Sijui nianzeje!
 
woga wako tuu...
kama kweli ulishawahi kutongoza,hakuna ugumu hapo..
 
the same happens to me. Kuna binti yupo so close to me as open friend and i need her to be my lover but the difficult is how i can start to say.!!
 
hahahahahaha! Mkuu check na kitu RED WINE.
 
Jamani ninampenda huyu binti,tatizo sijui ni woga au ndo nimempenda sana au swaga zinagoma au ndo udomo zege! Kwani kwa wasichana wengine siogopi ila huyu,dah hata kumsalimia najishtukia.Sijui nianzeje!

Dawa ipo kwenye jina unalotumia - Vodka. Ukiona hii ya warusi ni aghali njoo nikupeleke Kitunda Nyantira kuna local Vodka. Ukipata kidogo tu hata kiingereza kinanyooka na unaweza hata kumwaga sera kwa ung'eng'e pia.
 
Kama una namba yake ya simu,mtongoze kupitia huko
 
Kunywa konyagi mwitu inaondo woga moja kwa moja.
 
Dawa ipo kwenye jina unalotumia - Vodka. Ukiona hii ya warusi ni aghali njoo nikupeleke Kitunda Nyantira kuna local Vodka. Ukipata kidogo tu hata kiingereza kinanyooka na unaweza hata kumwaga sera kwa ung'eng'e pia.
hua nikiinywa hii kitu nakuwa mpole kupitiliza,na hyo ya kibongo hadi nasinzia.
 
practice make perfect
...Ni kweli ila yule uliyempenda sana mbaya zaidi unamheshimu sana naye anajiheshimu sana..Zile swaga za madem wa kawaida unaziona ni za kizembe vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…