Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani ninampenda huyu binti,tatizo sijui ni woga au ndo nimempenda sana au swaga zinagoma au ndo udomo zege! Kwani kwa wasichana wengine siogopi ila huyu,dah hata kumsalimia najishtukia.Sijui nianzeje!
Jikaze kiume useme...
Du.Mpaka leo watu wa type yako mpo
hua nikiinywa hii kitu nakuwa mpole kupitiliza,na hyo ya kibongo hadi nasinzia.Dawa ipo kwenye jina unalotumia - Vodka. Ukiona hii ya warusi ni aghali njoo nikupeleke Kitunda Nyantira kuna local Vodka. Ukipata kidogo tu hata kiingereza kinanyooka na unaweza hata kumwaga sera kwa ung'eng'e pia.